dadamkubwa Senior Member Joined Sep 3, 2013 Posts 115 Reaction score 21 Jan 22, 2014 #1 Nahitaji kabati zuri la kuwekea vyombo liwe la kisasa lakin lisiwe la kichina niko morogoro kwa anayefahamu duka au fundi mzur anakopatikana anijuze
Nahitaji kabati zuri la kuwekea vyombo liwe la kisasa lakin lisiwe la kichina niko morogoro kwa anayefahamu duka au fundi mzur anakopatikana anijuze
Pate_15 Senior Member Joined Oct 26, 2013 Posts 156 Reaction score 48 Jan 23, 2014 #2 kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake.
kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake.
served Senior Member Joined Nov 6, 2013 Posts 168 Reaction score 58 Jan 23, 2014 #3 samahan naomba weka contact zake na picha zake hapa utasaidia weng . isack raphael said: kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake. Click to expand...
samahan naomba weka contact zake na picha zake hapa utasaidia weng . isack raphael said: kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake. Click to expand...
dadamkubwa Senior Member Joined Sep 3, 2013 Posts 115 Reaction score 21 Jan 23, 2014 Thread starter #4 served said: samahan naomba weka contact zake na picha zake hapa utasaidia weng . Click to expand... Hata mim naona akiweka picha na contact zake itakuwa vizur zaid kwa sabab itasaidia watu weng pengine si mm tu ninayehitaj
served said: samahan naomba weka contact zake na picha zake hapa utasaidia weng . Click to expand... Hata mim naona akiweka picha na contact zake itakuwa vizur zaid kwa sabab itasaidia watu weng pengine si mm tu ninayehitaj
dadamkubwa Senior Member Joined Sep 3, 2013 Posts 115 Reaction score 21 Jan 23, 2014 Thread starter #5 isack raphael said: kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake. Click to expand... Samahan unaeza ukaweka tu hpa hpa jamvin hzo picha na contact zake zikawasaidia na wengine wanaohitaj mkuu
isack raphael said: kunafund mzuri yuko dar,kama utahitaji ni pm namba yako ili baadae nikutumie picha za kazi zake kwa whatsup ikibidi na contact zake. Click to expand... Samahan unaeza ukaweka tu hpa hpa jamvin hzo picha na contact zake zikawasaidia na wengine wanaohitaj mkuu