1 Google ergonomics and how to adress it. Unaweza kuelewa wapi tatizo limeanzia
2 fuata ushauri hapo juu kuhusu godoro. Shelf life ya godoro ni miaka 4 unless ni orthopwdic (lile gumu kama mbao). Godoro la spring linaweza kuwa bora zaidi kwako
3 umeongezeka uzito kwa walau 10% hivi karibuni? Kama ndio hangaikia kupungua kwanza
4onana na dr. Inawezekana kukawa na tatizo linalohitaji tiba