T Trust ME Member Joined Sep 14, 2013 Posts 77 Reaction score 6 Sep 17, 2013 #1 Wakuu naombeni mnisaidie web ambayo naweza kudownload VGA ( video graphic adpter) inayorun kwenye OS zote . Nimeinstal OS lakini imenizingua VGA Natanguliza shukrani sana
Wakuu naombeni mnisaidie web ambayo naweza kudownload VGA ( video graphic adpter) inayorun kwenye OS zote . Nimeinstal OS lakini imenizingua VGA Natanguliza shukrani sana