Mkuu unaweza ukawa unamuanda phsyically, kisaikolojia je? Maana kama saikoloji yake inakua haipo hapo kwenye tendo (perhaps pengine alipata Post traumatic disorder) utakua unamuumiza tu bila kufaidi tendo. Anways nakushauri muende kwa Gynaecology aweze kuwapa ushauri wa ki taalam zaidi.