pisces
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 240
- 61
natumia huawei ascend y300 ambayo ina android jelly bean.
nimekua napata usumbufu kwenye kudownload. wakati mwingine inakua slow, wkt mwingine inakataa kabisa.
cha kuchangaza speed ya kuload pages ni nzuri sana ila nnapotaka kudownload file ndio inakua tabu.
hii inatokea kwa njia zote mbili yaani tethering na hotspot.
wataalam nisaidieni.