Msaada juu ya tatizo la TV yangu.

Itoye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
531
Reaction score
1,026
Wakuu salam

Kama heading inavyosomeka. TV yangu samsung lcd 32" ina tatizo la kutokea kwa vertical lines kwenye screen halafu baada ya muda picha inakua faint na kuzima then picha inarudi, lakini clarity ya picha sio zuri kabisa as it was before (picture attached)

Najua jf ni kisima cha taarifa na elimu, naomba mwenye kujua nini tatizo na hatua ipi nichukue anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

Asante.
 
Naona TV yako inaelekea kufa mkuu
 
Peleka kwa fundi akuchekia kioo hicho
 
Ndani yake kuna mosfet transistor ya vertcal ndio inayosumbua au ra baadh y capacirors hazipo sawa
 
Ndani yake kuna mosfet transistor ya vertcal ndio inayosumbua au ra baadh y capacirors hazipo sawa
Asante mkuu kwa elimu hii. Kwa hiyo hili tatizo linatengenezeka na performance ya TV kurejea ktk ubora wake maana nachelea kuingia gharama ya kutengeneza halafu tatizo lijirudie baada ya muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…