Msaada juu ya sound driver

Msaada juu ya sound driver

Joined
Apr 17, 2013
Posts
8
Reaction score
0
jamani nilibadilishiwa window kwenye laptop yandu ila tokea siku hiyo sauti hamna kila sound driver nayojarbu kuingiza haisaiidd
 
ukikosa kwenye website drp.su ujue kua huenda hardware yako ya sauti imekufa
 
Inafaa useme ni aina gani ya laptop yako na namba zake ndo tunaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom