mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
powa mkuuProgramming haihitaji PC kubwa hasa kwa Beginner kama ww. kama una pesa Tafuta Pc inter Core i3 generation ya 5 na kuendelea, Ram 4Gb, 15.6 Inches Display, itakufaa sana.
HTML sio programming language bali ni mark up language kwa ajili ya web designing.Laptop ya sofa zipi inafaa kwa programing?
Software designHTML sio programming language bali ni mark up language kwa ajili ya web designing.
Programming languages ni kama c,c++,cobol,swift,java,kotlin,objective-c na nyinginezo nyingi.
Unaposema kuunda mifumo ya kompyuta hapo hata sijakuelewa, unataka kudesign web, software, robotics softwares, apps ? Fafanua.
Kwa serious user wa programming na software developing au graphic processing kompyuta zenye CPU ya core 4 na speed walau 2.4GHz zinafaa zaidi kwa ajili ya compilation ya haraka
Download app inaitwa degdeep zen utazirudisha zoteNisaidieni wana jamvi jinsi ya kurudisha picha zilizofutika na video
Habari zenu wakubwa ,tokea zamani nimekuwa nikivutiwa na mfumo wa computer na baadae nikajua unaitwa programing na kutokana na kufuatilia kwa watu wanasema hivi vitu hata mtandaoni unajifunza ,nimeanza na languages rahisi ya HTML na kutokana na nilivyozoea na hitaji kupractise kila ninaposoma so naomba MTU mwenye experience aniambie kuwa ni PC yenye sifa zipi unaweza kutumika kwa kazi hizo apo? na bei yake ikiwa new brand ni ip (PC nahitaji laptop). lengo siku moja nifanye project kubwa kama instergram au whatsap
Sawa mzee kwahiyo speed ake ni ipi?Ram 2< GB
Intel 3i <
Ubongo 175 IQ <
DigDeep Image recoveryDownload app inaitwa degdeep zen utazirudisha zote
Yeah ndio hiyo mzee baba ilmrad awe anatumia email address ile ileDigDeep Image recovery
Software, basi fuata ushauri niliokuambia.Software design
Habari zenu wakubwa ,tokea zamani nimekuwa nikivutiwa na mfumo wa computer na baadae nikajua unaitwa programing na kutokana na kufuatilia kwa watu wanasema hivi vitu hata mtandaoni unajifunza ,nimeanza na languages rahisi ya HTML na kutokana na nilivyozoea na hitaji kupractise kila ninaposoma so naomba MTU mwenye experience aniambie kuwa ni PC yenye sifa zipi unaweza kutumika kwa kazi hizo apo? na bei yake ikiwa new brand ni ip (PC nahitaji laptop). lengo siku moja nifanye project kubwa kama instergram au whatsap
Shukran mwenyezi mungu akubarikiNakushauri chukua laptop ya kisasa ili usije kupata shida baadae mfano speed na installation ya applications za kisasa.
Chukua hp, dell, Lenovo.
2.5Ghz na kuendelea
i-3
ram 4GB
Hapo ndugu yangu utaenjoy na utajiwekea software zenye specification kubwa pia uki compile code zako kitu kinakuwa faster.
Hizo brand za laptop hapo ni common nikiwa na maana ukipata shida waweza pata msaada haraka kwa mfano kuharibika kwa charger, display hivyo huwa ni delicate sana.
Nimekuelewa mzee baba kama nitapata shida tutajulishanaKiufupi programming haihitaji computer ya kutisha sana, kwa HTML computer yoyote inafaa. Ila sasa unatakiwa ujue kwamba HTML sio real programming ingawa ipo kwenye kundi la WEB PROGRAMMING. Ili HTML iwe programming kamili lazima ifuatande na language nyingine kama vile scripting language ya JAVASCRIPT , PHP etc.
sasa kama kweli upo serious utahitajika kusoma basic HTML na CSS kwa wakati mmoja hapo ndio utaenda kisasa, sahau kutumia tables kwenye web pages zako.
--baadae usome JAVASCRIPT
--halafu PHP
hizo zitakusaidia kutengeneza web-based applications.
Nawe pia mkuu.Shukran mwenyezi mungu akubariki