Wakuu poleni na majukumu ya michango yenu muhimu kwetu katika kujenga taifa mm naomba msaada wenu juu ya hii mifuko ya ijamii, NSSF, LAPF, PSPF, upi nimzuri hapo na naomba unipe sababu ya kuwa mzuri zaidi ya hiyo mengine.
LAPF ipo juu aiseee maana calculation formular ya mafao ipo safi unapata fao kubwa pia kuna mafao madogo madogo mengine taarifa zaidi ingia internet then wasiliana nao.