Dada mmoja kaniomba niulize kwamba katumia dawa za misoprostol tatu akameza na moja akaweka uken ili kutoa mimba lakini baadaye akatapika je dawa itafanya kazi? Na kama haitafanya arudie zoezi la kutoa kwa muda gani?
Dada mmoja kaniomba niulize kwamba katumia dawa za misoprostol tatu akameza na moja akaweka uken ili kutoa mimba lakini baadaye akatapika je dawa itafanya kazi? Na kama haitafanya arudie zoezi la kutoa kwa muda gani? Tafadhali naomba msaada wenu ndugu zangu.
Jamani, siasa hadi afya zenu! Hata aliyemuuzia anapaswa kukamatwa kabisa, hiyo ni dawa hatari sana, mtu anakufa anajiona. How do you use misoprostol nje ya hospital?
Ana hatare ogopa sana hiyo dawa!!! Ukinwa unakufa bila hata kuhangaika so mwambie aende hospitali huyo ni tayari kaua mtoto ajihadhari yeye sasa ndo maana twamshauri awahi hosp na ajieleze alichofanya