Walcotinho
Member
- May 28, 2017
- 35
- 15
Habar wakuu.. naomba anayejua mahala wanapo fundisha 2&3D Animation kwaku specialised kwenye iyo moja kwa moja, maana nilienda DIT wanafundisha multimedia & Film technology, lkn uwe umefanya masomo ya sayansi lkn mm sjafanya sayansi, kwa anayejua sehem wanapotoa mafunzo hayo msaada wa kunijuza tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app