Msaada juu ya laptop yangu

mkuu hiyo window 8 ilikuja iko installed au ulipiga chini window 7 ndo ukaweka 8.??kama ulifanya hivyo tafuta drivers za network/wireless na hizo utazipata kwenye website ya dell.
 
mkuu hiyo window 8 ilikuja iko installed au ulipiga chini window 7 ndo ukaweka 8.??kama ulifanya hivyo tafuta drivers za network/wireless na hizo utazipata kwenye website ya dell.

nilipiga chini windows 7
 
mkuu nashukuru sana hakika msaada wako nimefanikiwa,shukrani sana
 
mimi nimeshangaa sana sio wifi tu..... windows 8.1 ninayotumia inaonesha icon ya bluetooth lakini still hola... inasach mpaka yeenyewe incachoka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…