Msaada juu ya laptop yangu

Msaada juu ya laptop yangu

Budako

Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
22
Reaction score
4
habari zenu wakuu,nina laptop yangu ya dell core i3
,lakini wi-fi siioni kwenye device manager wala icon yake haimo ila kwenye specification ipo.natumia windows 8.1pro.je tatizo ni nini?
 
Vipi ukipeleka pointer kwenye kona ya screen upande wa kulia chini...hupati icon ya WiFi?
 
Ok...vipi ukikagua vizuri kwa nje hakuna sehemu inayoonesha kitu km switch au alama ya WiFi....lkn laptop za siku hizi yaweza kua na WiFi ambayo ni automatic ditection..(iko on automatically) chakufanya jaribu kua karibu na WiFi yoyote iliokaribu nawe then angalia kwenye task bar uone km hautapata notification yoyote kuihusu.
 
hv windows inaweza kuwa tatizo? sababu kwenye button f2 kuna icon ya wireless but hata ukiclick bado light haiwaki,ukiwa karibu na wireless inaandika your are not connected to any network
 
Windows inaweza kua tatizo km huiwezi kuitumia..lkn kwa kesi ya window 8 ni nyingi...kwa sababu matumizi yake kidogo yapo tofauti na OS nyingine..sasa kwakua F2 ina alama ya WiFi..nadhani tuanzie hapo...hiyo alama ya WiFi kwenye F2 ina rangi gani?
 
ina rangi ya blue,na nikickick fn+f2 light inawaka ila kwenye tool bar inatokea icon ya bluetooth
 
Tafuta drivers zake zinakuwa na application ukiifunga application na zenyewe zinakuwepo
 
habari zenu wakuu,nina laptop yangu ya dell core i3
,lakini wi-fi siioni kwenye device manager wala icon yake haimo ila kwenye specification ipo.natumia windows 8.1pro.je tatizo ni nini?

Model gani!!!?
 
Kama hiyo alama ya WiFi ni ya blue..basi jaribu kuminya key zifuatazo...ili kuiwasha hiyo WiFi..press FN na hiyo F2 kwa pamoja..then itakua umewasha WiFi..ikishindikana fanya utafute driver zake..km alivyoshauri jamaa hapo mwanzo.feedback muhimu
 
Jaribu pia kuona hiyo pc inasapotiwa na wenye hiyo brand hadi sasa? Maana inaweza ikawa vigumu kupata wifi drivers za pc yako. Mfano pc yangu toshiba muda wa kusapotiwa kwa ajili ya programs mpya umeisha kwa hiyo hawanipi prog mpya za brand ya pc yangu. Jaribu kuchunguza driver za wifi za pc yako zinazoingiliana na win8 na upakue.
Na kitu kingine windows 8.1/8 huwa zinatabia ya kutoruhusu wifi kuwaka pale win8 imeshawaka jaribu kuiwasha wifi kabla ya win8 kuanza kuwaka yani kama vile unataka kuboot cd/usb, sasa kama inategemea fn keys pekee sidhani kama tatizo litatatulika ila jaribu kwanza. Kama itakubali kuwaka nadhani itakubidi utumie win8 kuzima na kuwasha wifi baada ya kuwaka.
 
Fanya kama search wifi kama ipo utaiyona tu au nenda kwenye pc setting utona option nyingi chini utakutana nayo
 
Imemiss driver hizo window 8.1au 8 mara nyingi huwa zinamiss km unataka kujua km imemiss driver ya hiyo wifi nenda kwenye this computer bonyeza right botton kwenye mouse yako ikifunguka nenda kwenye option ya manage fungua utaona kitu cha computer management

ukifika hapo huku kushoto kwako fungua device manager ukifungua hapo utaona km imemiss baada ya kuangalia Network driver au network adapter utaona hapo network ya wireless

Ikiwa imemiss tupe jibu tutakufahamisha nn ufanye ila hakikisha umeenda kwenye setting kule naiko wazi ile airplane haipo ndo uwende huko niliko kufahamisha
 
maelekezo yote nimefata na imemiss
 
Okey km ni hivo chagua option ya kupata driver kwa kutumia hizi software mbili ya kwanza dowload driver identifier mm sku zote huwa natumia hii computer ikimiss driver ww google tu than utaona set up yake fanya installation ila hakikisha uwe online namaanisha unaweza ukaweka modem uka acces internet ikishakubali wakati uko online ifungue itascan na itasoma kutokana na aina ya computer yako itakuletea driver iliyomiss than dowload.

Ya pili ukiona hiyo huwezi dowload driver max google than utadowload hii inajitegemea nayo ina acces internet ukishafanya instalation itaifungua utaenda one way kwenye driver dowload and info ukifungua hapo utaona sehemu identify unkonown hardware utaclick hapo itakuletea kilicho miss

Option ya mwisho ni ya mzunguko sana hii niyakutumia driver pack solution ila jaribu hizo kwanza utupe mrejesho
 
ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom