Jamani, on a serious note gari za it ni gari gani? Mimi nafikiri ni ninapoziona zimeandikwa it maana yake imetoka bandarini na inaenda kuwekwa namba. Kwa maelezomyenu wajuvi ni kama vile yaaani na zenyewe zinapigaga route kwenda na kurudi.
IT kifo nje nje nilipoteza hawara aliyekuwa akinipa yote, nilimkataza kupanda IT akawa mbishi nikamwambia bora adake Fuso alikataa kona za lyofi zilichukua uhai wa kiburudisho changu.
IT kifo nje nje nilipoteza hawara aliyekuwa akinipa yote, nilimkataza kupanda IT akawa mbishi nikamwambia bora adake Fuso alikataa kona za lyofi zilichukua uhai wa kiburudisho changu.
IT ni noma,mi nilikua naenda mbeya niko 160 zikawa zinanipita kama nipo spidi 60... halafu mbele nikakuta moja imenyooka kwenye korongo na zile zilizonipita zimepark pembeni zinajaribu kusaidia mwenzao..na zimekula vichwa kama kawa
hahaaa..baiskeli siyo...hawa jamaa wananyooshaga mguu hadi mwisho hata kama gari inazaidi ya 200, na ukikaa vibaya wanakuchana tu,wakati narudi noah moja IT ilikua inaovertake malori mawili wakati inaona nami nakuja,unanyooka tu poriniUlikuwa na baskeli?
Zile gari zinakuaga mpya(used imported frm japan tunaziita hivyo pia ) kwa hiyo zinakua ziko vizuri barabarani na jamaa wanakanyaga zote kwa hiyo zikichomoka huzikamati...maana wanawahi boarder wageuke tena..ila kwa madereva wanaopenda ligi wanaweza kushindana nao ila uwe umejizilaWakuu gari za IT ziko special kivipi? Kwani si huwaga ni zile gari zilizopita bandarini na kupelekwa nchi za jirani. Sasa huo u-IT wake unachangiaje kuzifanya zote ziwe za aina moja--kwa maana ya spidi kubwa. Naomba ufafanuzi wakuu. Ina maana hata kibajaji kikiwa na namba za IT basi na chenyewe kinakuwa kinakimbia kuliko Land Cruiser? Au hii imekaaje? Kuna uhusiano gani kati ya IT na spidi kubwa?
mkuu kwa huu ushuhuda wako wacha nikapande mbaula tu mkuu.
nduu/mamaya umefika?