Msaada juu ya kuroot simu yangu (android)

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
1,962
Reaction score
1,622
Habari wakubwa...
sasa ni hivi, kwa muda nimesoma na kuona watu wakiongelea na kulifanya jambo hili (rooting)..
sasa na mimi nimetamani nataka kuroot ya kwangu ambayo ni HTC incredible s710e..ili niweze ku-enjoy hiyo jailbreacking firmware..
Msaada uwe umejikita humu.........
1 Ipi itakua ni firmware nzuri kwangu ? na kwanini?...(nikipata na download link,itakua mwake)
2 Nini cha kuzingatia kabla ya operation nzima kuanza..? na zipi ni requirements?
3 Madhara gani yanaweza kuitokea device yangu?
4 Na android version nzuri ni ipi? (kwa sasa natumia 4.0.4

NAOMBA KUWASILISHA..
Justine.:A S-confused1:
 
Lengo muhimu sana la kuroot device yako ni nini hasa labda unafikiri usipolifanya unaweza kufa au kuwa maskin hadi kufa
 
Ungesema unaomba msaada jinsi ya kuroot simu ningekusaidia hayo mengine ni km vile unanilazimisha

Kaka bado nahitaji msaada, nadhani sijachelewa....naomba unisaidie unachojua juu ya jambo hili
 
kaka na MiMi nahitaji Msaada wa ku root.naomba kufahamishwa.simu yangu ni Samsung duo's mini.
Natanguliza shukran.
Tafuta pc application inayoitwa rootgenius, hii ni single click root, mimi naipenda kwa sababu huwa naitumia kuroot simu aina nyingi na haijawahi kuniletea madhara:
ONYO: kuroot simu kunaweza kuharibu simu yako kama utakuwa hujui unachokifanya ni vizuri kufanya utafiti kablaya kuroot simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…