Ulitakiwa uelezee mzee ndio kasahau password,na nina wasiwasi bado, hyo simu ni mpya huyo mzee wako?tupe namba zake tumpigie tumuelekeze hatuachi mwanya wowote hapa tumechoka kuibiwa simu sisi alafu watu waombe msaada wa kuzifungua password!
Mbona hasemi ni aina gani nina wasiwasi na hiyo simu kama sii ya wizi basi ana wivu wa mapenzi anataka afumanie msg kwa mpenziwe hana jipya huyo akaflash haina jinsi!