Msaada juu ya kuondoa password kwenye simu

Msaada juu ya kuondoa password kwenye simu

Cyo kila mtu unamuhis hvyo mzee ndo amesahau password yake ,,,
Ulitakiwa uelezee mzee ndio kasahau password,na nina wasiwasi bado, hyo simu ni mpya huyo mzee wako?tupe namba zake tumpigie tumuelekeze hatuachi mwanya wowote hapa tumechoka kuibiwa simu sisi alafu watu waombe msaada wa kuzifungua password!
 
Mbona hasemi ni aina gani nina wasiwasi na hiyo simu kama sii ya wizi basi ana wivu wa mapenzi anataka afumanie msg kwa mpenziwe hana jipya huyo akaflash haina jinsi!
 
Zima simu,


Press power+volume up/down

Use volume bottom to navigate and use power bottom to press 'wipe data' then confirm it
 
Nimejikuta nacheka tu....Jamaa kama ni mwizi hatarudia tena kuuliza.
 
Huo ni wizi wa mchana kweupe kwavle sim kama umeweka password ww mwnyw unasahau vp...
 
Back
Top Bottom