Msaada juu ya kuondoa password kwenye simu

soskeneth

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
583
Reaction score
235
Msaada jamani kama umesahau password au pattern ulizo weka kwenye simu yako ni njia ipi nitaondoa bila ya kwenda kuflash?
 
msaada jamani kama umesahau password au pattern ulizo weka kwenye simu yako ni njia ipi nitaondoa bila ya kwenda kuflash?
Hiyo simu either ni ya mpenzi wako au ya wizi,nenda kaflush tu usilete balaa lako hapa,kwa nini usahau pasword wakati kila siku unafungua simu!jamani huyu mtu msimpe njia ya kufungua!simu siyo yake acha apovuke tu!Kama ban leo ban tu!
 
Ya kwako????
Swali zuri
wengine siyo za kwao mkiwafundisha itakula kwenu
Duuh JF tumefika hapa?
Hamna njia mbadala
Hahahaaaaa
Ngoja aseme ni aina gani kwanza zingine zina frp no short cut
Ndio maana nimeuliza simu aina gani ili akisema tu muhusika kama yupo humu ajue mwizi wake.
Hiyo simu either ni ya mpenzi wako au ya wizi,nenda kaflush tu usilete balaa lako hapa,kwa nini usahau pasword wakati kila siku unafungua simu!jamani huyu mtu msimpe njia ya kufungua!simu siyo yake acha apovuke tu!Kama ban leo ban tu!
Heri angetumia swaga zileee za mtoto amechezea imeji block.
Wanatuibia sana simu hakuna kuwapa solution hawa
Lakini aki google tu mchezo kwishaaa...
 
Hiyo simu either ni ya mpenzi wako au ya wizi,nenda kaflush tu usilete balaa lako hapa,kwa nini usahau pasword wakati kila siku unafungua simu!jamani huyu mtu msimpe njia ya kufungua!simu siyo yake acha apovuke tu!Kama ban leo ban tu!
Cyo kila mtu unamuhis hvyo mzee ndo amesahau password yake ,,,
 
Back
Top Bottom