Msaada juu ya Kujifunza Web Hosting

Msaada juu ya Kujifunza Web Hosting

clecia

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Habari zenu ndugu zangu.
Ninajitokeza katika forum hii ya sayansi kuomba msaada kwa wale wote wenye utaalamu na mambo ya Web Hosting. Naombeni mnisaidie ndugu zangu juu ya hilo jambo.
 
Habari zenu ndugu zangu.
Ninajitokeza katika forum hii ya sayansi kuomba msaada kwa wale wote wenye utaalamu na mambo ya Web Hosting. Naombeni mnisaidie ndugu zangu juu ya hilo jambo.

upo mkoa gani? hosting ni rahisi sana , web design ndio kazi kubwa. ni vizuri ukakutana ana kwa ana na mtu mwenye idea itakuwa rahisi kukuelewesha
 
upo mkoa gani? hosting ni <strong>rahisi sana</strong> , web design ndio kazi kubwa. ni vizuri ukakutana ana kwa ana na mtu mwenye idea itakuwa rahisi kukuelewesha

hosting unayozungumzia kuwa ni rahisi ni ipi hiyo?
 
Habari zenu ndugu zangu.
Ninajitokeza katika forum hii ya sayansi kuomba msaada kwa wale wote wenye utaalamu na mambo ya Web Hosting. Naombeni mnisaidie ndugu zangu juu ya hilo jambo.

Mimi nitakupa hosting, kama unataka hosting ina maana tayari una domain name? siyo? Domain name ndo una i direct kwenye hosting. send message kwenye PM alafu ntakusaidia hata bila kukutana
 
Back
Top Bottom