Msaada juu ya kazi za utumishi

Msaada juu ya kazi za utumishi

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,297
Wakuu,

Ni mara ya kwanza kutuma maombi utumishi. nimeona kazi zilizo tangazwa za tarehe 1/4/2014. Lakini hakuna kipengele cha cetified vyeti, na kuna mdau anasema ni lazima cetified vyeti. je kwa nyie wazoefu je ni kweli?

Naombeni ushauri kabla ya kutuma maombi.

Asanteni
 
mkuu siyo lazima ku-certify vyeti ila ni mhimu
 
Wakuu,

Ni mara ya kwanza kutuma maombi utumishi. nimeona kazi zilizo tangazwa za tarehe 1/4/2014. Lakini hakuna kipengele cha cetified vyeti, na kuna mdau anasema ni lazima cetified vyeti. je kwa nyie wazoefu je ni kweli?

Naombeni ushauri kabla ya kutuma maombi.

Asanteni

Hilo sharti lilikuwepo kipindi cha nyuma 2012 ana backward,kwasasa wameliondoa baada ya waombaji kulalamika san gharama za certification hivyo ni dhahiri shahiri kilio cha wadau kimewapata na kukifanyia kazi.
Hivyo basi upo huru kucertify ama lah,yote sawa.
 
Wakuu,

Ni mara ya kwanza kutuma maombi utumishi. nimeona kazi zilizo tangazwa za tarehe 1/4/2014. Lakini hakuna kipengele cha cetified vyeti, na kuna mdau anasema ni lazima cetified vyeti. je kwa nyie wazoefu je ni kweli?

Naombeni ushauri kabla ya kutuma maombi.

Asanteni

haina ulazima na wala hawajaongelea hilo sharti labda kama una hamu ya kujisumbua. mimi nimeapply mara tatu na zote niliitwa interview. na ndo maana siku ya interview wanasisitiza sana uende na original hapo ndo wanahakikisha wenyewe vyeti vyako
 
Ni kweli hakuna ulazima wowote, cha msingi wewe fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye tangazo la ajira.
 
Wakuu,

Ni mara ya kwanza kutuma maombi utumishi. nimeona kazi zilizo tangazwa za tarehe 1/4/2014. Lakini hakuna kipengele cha cetified vyeti, na kuna mdau anasema ni lazima cetified vyeti. je kwa nyie wazoefu je ni kweli?

Naombeni ushauri kabla ya kutuma maombi.

Asanteni

Ni kweli kabisa . nakumbuka nilikuwa naomba kazi kupitia sekretariet ya ajira na walikuwa hawaniiti.nilituma sana.ck moja nikawapigia na kuwauliza km kutocertify ni kikwazo na wakaniambia ni kikwazo. Walipotoa nafasi nyingine nilicertify na wakaniita kwa interview na nikapata hiyo kazi bila upendeleo kabisa
 
Hakuna ulazima wa kucertify..cha muhimu siku ya interview uende na vyeti original.
 
Back
Top Bottom