Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,825
- 3,021
Habarini wakuu,
nime "install" windows 10 kwenye kompyuta yangu, katika michakato ya mwisho nimekuja ku update drivers zote, ila drivers za display zinagoma kuwa updated ingawa nimetumia njia ya ku update kupitia DEVICE MANAGER vile vile ku update za MONITOR, najaribu ku shusha na kuongeza mwanga wa kioo naona bado ni vile vile,
naomba msaada wa app nzuri ya ku update drivers ukiaachana na driver talent na driver pack solution au msaada zaidi ya app.
asanteni