Cenilah laprincesser
Member
- Jan 25, 2021
- 58
- 51
temeke kuna nini?🤣🤣Biashara iyo inachangamoto kubwa kama upo dar usijifungue temek utajuta kuhs minimum uwe kama 1m ila ilala na kinondon kigambon inalipa
Kulee bei zao za maskin nyama unanuna 7500 zuri then bei zao n 7000 au 7500au 8000 khy bora ufugue ilal utauza 9000 coz temek bucha za nyama wanachinja wenyew cowtemeke kuna nini?[emoji1787][emoji1787]
Asantee [emoji120] vituu vnavyoitajikaKulee bei zao za maskin nyama unanuna 7500 zuri then bei zao n 7000 au 7500au 8000 khy bora ufugue ilal utauza 9000 coz temek bucha za nyama wanachinja wenyew cow
sawa kwenye hio biashara yako usisahau kijana wakukuuzia mana wateja wengi mabinti na wanapenda kushikwa nyonyo
Asantee[emoji120]sawa kwenye hio biashara yako usisahau kijana wakukuuzia mana wateja wengi mabinti na wanapenda kushikwa nyonyo
mtaji ukipelea nistue mrembo wangu
[emoji23][emoji23][emoji119]mtaji ukipelea nistue mrembo wangu
Asante kwa ushaurifridge
VIsu
Mapanga
ILa kikubwa hakikisha butcher lina kuw saf wale watu wa afya nyoko hawashindwi kutia kofuli
Ila sasaivi wanatumia sana mashine za umeme na ili uweze kufanya biashara vizuri nunua na jenereta japo dogo ili biashara ifanyike,mapanga maeneo mengi hawatumia sasaivifridge
VIsu
Mapanga
ILa kikubwa hakikisha butcher lina kuw saf wale watu wa afya nyoko hawashindwi kutia kofuli
Asante [emoji120]Ila sasaivi wanatumia sana mashine za umeme na ili uweze kufanya biashara vizuri nunua na jenereta japo dogo ili biashara ifanyike,mapanga maeneo mengi hawatumia sasaivi