Naftari Erasto
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 108
- 50
Wana Jf nimebahatika kuchaguliwa Lindi kwa kozi ya clinical officer lakini kuna tetesi kuwa ukisoma hii kozi huwa chakula ni kujitegemea sasa naomba anayeifahamu Lindi anipashe kuhusu gharama za maisha.
Kwa anayefahamu hata hali ya chuo (mazingira ) anijuze pia
Kwa anayefahamu hata hali ya chuo (mazingira ) anijuze pia