Msaada juu ya account yangu ya facebook nimesahau password

Msaada juu ya account yangu ya facebook nimesahau password

mwasibu

New Member
Joined
Oct 6, 2013
Posts
3
Reaction score
0
nahitaji msaada juu ya account yangu ya facebook mwanzo nilikuwa natumia poa nilikuwa nimejisajili kwa namba ya simu sikuwa na email na kwa bahati mbaya ile namba ya simu isha fungwa na nikijaribu kureset password na ambiwa security codes zitatumwa kwenye hiyo namba yangu ya simu ambayo ishafungiwa plz mwenye msaada wa kuweza kunisaidia juu ya hili anisaidie wapendwa ili niweze kurudi hewani kama zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom