Msaada just ya hizi course

Msaada just ya hizi course

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
Community development na public administration ni kozi ipi Kati ya hizi nimshauri ndugu yangu akasome maana matokeo yake ya form four siyo mazur
Biology-b
chemistry-f
Physics-f
Math-f
Kiswakili-b
Civics-d
Geog-d
Engl-d
History-d
 
Amepata fa fa fa za kushato
Kama ni wa kike mtafutie tu bwana aolewe chapuuu
 
Amepata fa fa fa za kushato
Kama ni wa kike mtafutie tu bwana aolewe chapuuu
Bro nimekustahi tu ila nilitaka nikutukane tusi ambalo hata ukilikumbuka hamu ya kula inakata alafu na ukienda chochoni mavi hayatoki
 
Naomba na mmi mnisaidie ushauri kwa haya matokeo kwani lengo langu ni kwenda kupiga laboratory technology pale MUST,DIT au Arusha ila nahofia kuchaguliwa

kiswahil B
engles C
geo C
chemistry C
physics D
CIVICS B
BMATH F
HISTORY C
BIOLOGY B
 
Back
Top Bottom