Msaada joining instructions.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,781
Reaction score
31,298
Wakuu kharaam kadogo kangu toka family friend kamechaguliwa Mpuguso teachers college.Sasa joining instructions namna ya kuipata msaada.Chuoni nimewasiliana nao hawana majibu yanayoeleweka.
 
Xax kama umewasiliana na chuo hisika awajakupa majibu vzr uwaelez vzr c ndo chuo uska au taftaa mtu anae soma apo akusaidie
 
Xax kama umewasiliana na chuo hisika awajakupa majibu vzr uwaelez vzr c ndo chuo uska au tafya myi anae soma apo akusaidie
Sawa mkuu asante.Wababaishaji sn
 
Wakuu kharaam kadogo kangu toka family friend kamechaguliwa Mpuguso teachers college.Sasa joining instructions namna ya kuipata msaada.Chuoni nimewasiliana nao hawana majibu yanayoeleweka.
Nenda mbeya Tukuyu ushirika...utaipata
 
Nenda mbeya Tukuyu ushirika...utaipata
Mkuu daa Yani toka huku kote mpaka huko kwaajili ya hii ambayo twaweza ipata mtandaoni.!!??Kwanini hivi vyuo havina utaratibu unaoeleweka ktk hili?
 
Mkuu mbona zishatoka kuna ndugu yangu mmoja kashaipata na chuon wanaiingia tarehe kumi na tano hv
 
Mkuu kama unakula kitimoto uta enjoy sana mpuguso, kisa n.k.
Hah mkuu ni Katoto kangu kanaenda.

Halafu hii form inataka barua ya kuitwa kujiunga na chuo.Wanatuma au ndo hivo tena mtu akipata form tu aende chuo?
 
Wakuu asanteni sana.Hivi kuna barua anatumiwa mwanafunzi zaidi ya hii form?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…