Msaada: Joining instructions chuo cha Bagamoyo

Zahir Saidi

Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
7
Reaction score
0
Kwa anaekifahamu chuo cha Bagamoyo school of nursing naombeni anisaidie kujua napataje joining instruction. Maana chuo hakina website na nimejaribu kuingia account yangu ya NACTE haifunguki tena
Naombeni msaada wenu mana muda wa kwenda chuo unakaribia.
 
Dhu ngja waje maana hata Mimi nasubir sana joining instructions sijui lini nitatumiwa
 
Kwani umechaguliwa hapo hapo au hadi vyuo vingine joining bado
Mie mbeya huko mkuu
Kwa anaekifahamu chuo cha Bagamoyo school of nursing naombeni anisaidie kujua napataje joining instruction. Maana chuo hakina website na nimejaribu kuingia account yangu ya NACTE haifunguki tena
Naombeni msaada wenu mana muda wa kwenda chuo unakaribia.
 
Kwa anaekifahamu chuo cha Bagamoyo school of nursing naombeni anisaidie kujua napataje joining instruction. Maana chuo hakina website na nimejaribu kuingia account yangu ya NACTE haifunguki tena
Naombeni msaada wenu mana muda wa kwenda chuo unakaribia.
vyuo vya serikali vyote joining instruction zinaweka online kwenye website ya nacte wew kazi yako kwenda kuiprint tu na kuijaza halafu siku ukireport chuoni unaenda nayo hio .
 
Nipe link mana mm kila nkisearch sizion izo joining
Achana na www.nacte.go.tz
Nataka io ya joining
 
naomba msaada wa mawasiliano ya chuo cha bagamoyo
 
Back
Top Bottom