Kuhusu fani ni mpaka baada umalize jkt, pale jkt wote kwa pamoja tutalima, kuchunga, uvuvi nk. So kafani kako katakaa pembeni kwanza mpk uhitumu jkt na upate nafac jw. Na ukifanikiwa kuchaguliwa jw na c lazima uchaguliwe, utapiga kwata kwanza pamoja na wenzako wote kisha baada ya kumaliza almost 6 months hapo ndo taaluma yako itafanya kazi.
Cha msingi ni kujikaza tu.