F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,381
- 1,119
Subiri Mh atakujaa kutatuaKama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Mara nyingi shida inakupatq kama wewe ndio wa mwisho kujenga. Wao wanajenga hadi mwisho wa viwanja vyao halafu kiwanja chako kinakuwa njia. Siku unakuja kuanza ujenzi ukifunga njia(eneo lako) unakuwa adui wa jamii.Shida huwa inaanza kwa serikali za mitaa, vijiji sijui kata na hata wananchi kama wewe na mimi kutokuwa na ufahamu...
Kwa sababu ili mtu ajenge sheria ya ardhi inabainisha kwamba lazima awe na kibali cha ujenzi...
Serikali ya vijiji, mtaa inafika eneo la ujenzi kutambua mipaka, ikiwemo wapi njia inapaswa kupita...
Kwa maeneo ambayo hayajapimwa utaratibu wa kawaida ni kuacha mita 4 baina ya viwanja (hatua nne kama hakuna kipima umbali)...
Ushauri mzuri ...mi nilimwachia kipande anachokitakaaridhi inameza watu achana nayo ndugu
I miss you sweetheartKama sio muhaya, mchaga au mjita sijui tu
Utakuwa unamzidi uwezo au mnalingana ndo kunakuwaga na hizi nongwa, hao wenyeviti ndo wanauchochea, ungana na wanaotumia hiyo barabara ili mtatue mgogoro huo
Mbona hunikaribishi nyumbani lakini? Hutaki nibariki kazi ya mikono yako?Ushauri mzuri ...mi nilimwachia kipande anachokitaka
Miss you too hunny bunny πI miss you sweetheart
Hayo ni maeneo gani mpendwa?shida wanataka nivunje ukuta ili barabara iwe pana wakti yeye hajatoa sehemu yoyote
Heri ya Mwaka mpya, ya Mapinduzi, Ijumaa kuu, Pasaka, Eid El Fitr, Muungano, Mei Mosi na birthday..Miss you too hunny bunny π
Kazi ya watendaji kata na wenyeviti wa mtaaKama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
ππaah babu umeniota leo haya na kwako piaHeri ya Mwaka mpya, ya Mapinduzi, Ijumaa kuu, Pasaka, Eid El Fitr, Muungano, Mei Mosi na birthday..
Mimi bado nakupenda...ππaah babu umeniota leo haya na kwako pia
Hata mimi nakupenda ile kibabu babuMimi bado nakupenda...
Dah... Kilichobaki niende kwa mganga tu sasa....Hata mimi nakupenda ile kibabu babu
Hana haja ya kuingia gharama zote hizo.Chukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.
Baada ya siku 3 chukua paka mnyoe panki, mvalishe kitu kama hirizi mtupie kwake
Siku ya 5 chukua chura mvalishe maguo, mshonee ndani awe kama hirizi kisha tupia kwake,
Siku ya saba nunua drone, iveshe nguo nyeupe irushe juu iwe kama jini linapepea.
Utakuja kunishukuru π
Chondechonde wasikuroge tu ,nitalia sana.hakuna jiran
Mara nyingi shida inakupatq kama wewe ndio wa mwisho kujenga. Wao wanajenga hadi mwisho wa viwanja vyao halafu kiwanja chako kinakuwa njia. Siku unakuja kuanza ujenzi ukifunga njia(eneo lako) unakuwa adui wa jamii.
Aliekuuzia si yupo? hata kama apajapimwa ila lazima zipo mita za kiwanja kwa upana na urefu ,chukua izo karatasi pimeni urefu na upana na wenye viti wakiwemo ili kudhiilisha kiwanja chako kinapoishia , na wapi umeanzia jengea kuta simpleKama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili kupata barabara ya kupita gari na watu wa nyuma yangu waweze kuitumia.
Jirani niliyepakana naye upande wa pili wa hiyo barabara niliyotoa ndiye pasua kichwa. Kwa sasa anasema yeye ndiye aliyetoa barabara na ni sehemu ya eneo lake, hivyo ninapaswa kurudi nyuma hatua moja na nusu.
Nikaamua kuweka ukuta kuepusha mgogoro naye, lakini bado anataka ukuta wangu uvunjwe. Anadai nimejenga barabarani. Wenyeviti wote wapo upande wake, wakidai nimejenga barabarani. Ninapowaambia kuwa barabara ni sehemu ya eneo langu na jirani ndiye anayepaswa kurudi hatua kadhaa nyuma ili barabara iwe pana, hawanielewi na wamenikomalia. Jirani ana lugha isiyofaa, si mstaarabu, anatumia nguvu na mabavu ili nivunje ukuta.
Nimewaza kufunga kabisa hiyo barabara, ila nawaza majirani wa nyuma yangu watapita wapi. Naomba mnisaidie namna ya kushughulika na mtu wa namna hii maana wenyeviti wote wapo upande wake, nahisi wamepewa mlungula ili waikandamize haki yangu. Nimewaambia sitaki usumbufu na sijajenga ukuta kwenye eneo la mtu.
Amalizie na kununua subwoofer kubwa ya bluetooth aelekeze upande wa dirisha la jamaa usiku kucha aweke milio ya bundi na paka.Chukua kuku usimchinje mnyonyoe manyoya yote, mvalishe shanga kisha mtupie kwake.
Baada ya siku 3 chukua paka mnyoe panki, mvalishe kitu kama hirizi mtupie kwake
Siku ya 5 chukua chura mvalishe maguo, mshonee ndani awe kama hirizi kisha tupia kwake,
Siku ya saba nunua drone, iveshe nguo nyeupe irushe juu iwe kama jini linapepea.
Utakuja kunishukuru π
Huo ni unyonge usiokuwa na tija.Ushauri mzuri ...mi nilimwachia kipande anachokitaka