Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Kule chit chat si uliaga unaenda chuo? . Sasa maskrepa ya home ya nini tena ? But kma una shida sana na hiyo simu ni PM
Naombeni Msaada wenu wa ku unlock hii simu aina ya HUAWEI C2281. Niliinunua simu hii TTCL na ilikuwa inatumia line ya TTCL MOBILE. Sasa hivi siitumii tena kwa hiyo imekaa hapa home kama skrepa tu. Nilikuwa naomba msaada waneu kwa yeyote mwenye ufahamu wa jinsi ya ku unlock hii simu ili iwe inatumia line zote.
Sijui kuhusu huawei but nafkiri ni kama simu nyengine tafuta software yake ya pc then try kuweka new software version ya simu
hakuna njia
Duh! ya kweli hayo mkuu?
Salaam wote kwa kujaribu kutoa maelezo ya kuunlock HUAWEI c2281,kwanza tuelewane kuwa hii ni CDMA phone not GSM hivyo huwezi tumia tigo ,vodacom,airtel nk waweza tumia zantel na ttcl ,sasatel .....pili kuna special com cable ambayo hutumika kuanlock na software kama EASY CDMA,ref http://forum.gsmhosting.com/vbb/f128/c2288-huawei-invalid-r-uim-card-536524/
welcome