Msaada: Jinsi ya kuwasha hii laptop

ackylyimo

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
50
Reaction score
22
PC Yangu imeanza kizingua kuwaka tangu jana. Ukiiwasha inawaka Ila inakuwa Ya black na kuna kimstari kinablink nimejaribu option kadhaa Kama esc , Ctrl, alt na delete still imegoma. Nifanyaje ili ianze kufunction kama kawaida

Huwa kama kuna error eneo hilo kuna maandishi yanajitokeza hayo ndo nataka niyaone, kama hakuna maandishi hebu eleza tatizo lako kwa ufasaha
Hakuna maandishi yoyote, screen inakuwa nyeusi na app hazionekani hivyo nashindwa kufanya chochote
 
kama kuna flash au device yoyote umeichomeka itoe. iwashe bila kuplug device yoyote
 
Hako kaneno ungekapiga picha vzr tungekusaidia
 
PC Yangu imeanza kizingua kuwaka tangu jana. Ukiiwasha inawaka Ila inakuwa Ya black na kuna kimstari kinablink nimejaribu option kadhaa Kama esc , Ctrl, alt na delete still imegoma. Nifanyaje ili ianze kufunction kama kawaida

Vp ushafanikia kurekebisha tatizo la laptop?
km bado ni pm nikusaidie
 
PC Yangu imeanza kizingua kuwaka tangu jana. Ukiiwasha inawaka Ila inakuwa Ya black na kuna kimstari kinablink nimejaribu option kadhaa Kama esc , Ctrl, alt na delete still imegoma. Nifanyaje ili ianze kufunction kama kawaida

Natumaini tatizo ni dogo ila kwanza naomba uniambie ni aina gani ya pc unayo tumia.
 
Yes kilikuwepo
Nilipokuuliza hilo swali nilikuwa ndio nacheki, ili unijibu nikupe solution lakini nikakuta tayari umeshapost kuwa tayari imesharekebishwa. Nahisi tatizo lake ilikuwa ni windows, ilitakiwa kufanywa installation upya ya window.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…