Msaada jinsi ya kuunga Wi-Wif.

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,308
Reaction score
38,526
wakuu hapa ninapoishi simu yangu inasoma WiFi network available, japo huko nyuma sijawahi kuona kitu kama hiki.

Naomba mnisaidie jinsi ya kuunga hii kitu,msisahau kunielekeza faida na hasara zake.

Kwa watalaamu tafadhari.!
 
Wifi zipo nyingi tu, lakini hapa kwetu nyingi inabidi uwe na password yake. Hapo sasa!
 
Wifi zipo nyingi tu, lakini hapa kwetu nyingi inabidi uwe na password yake. Hapo sasa!

Mkuu ni kweli kila nikijaribu kujiunga inaniomba password, Ina maana hiyo password anakua nayo mmiliki wa mtandao.?

Ama siwezi kutumia bila idhini ya mhusika/mmiliki wa wa hiyo Wi-Fi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…