Msaada jinsi ya kutumia smart phone kama keyboard

Msaada jinsi ya kutumia smart phone kama keyboard

hoksa

Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
38
Reaction score
23
Habar wana jf. Nahtaji msaada kujua namna ya kutumia smart phone yangu kama keyboard katika kompyuta yangu. Angalizo natumia iphone pia desktop yangu czani kama inadrivers za wire less
 
Back
Top Bottom