News Alert: Msaada jinsi ya kutumia ITUNE STORE kwenye iphone

ndanu11

Member
Oct 12, 2014
44
22
Wadau nimepata shida kwenye ku sign in in my itunestore aisee mpaka naona awa apple sasa ni wasanii tu kwani nikitaka ku sign in ishu inakataa naombeni step za kufuata nifanye ilo chap.
IMG_3735.JPG
IMG_3736.JPG
 
jaribu kucheck kwenye account setting angalia payment method inatakiwa iwe free(without payment)
 
Back
Top Bottom