Ramlis
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 612
- 536
Wakuu yeyote yule mwenye ujuzi wa kuunganisha internet ninayotumia kwenye Laptop ili niweze kuitumia kwenye simu naomba anipe ujuzi huo. Mimi nafahamu kuunganisha internet ya kwenye simu nikatumia kwenye laptop lakni kwenye laptop ije kwenye simu nimeshindwa.