josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kuelekezwa namna ya kutumia excel ya kwenye simu kwa mfano kuchora graph.
Note: Mimi siyo mtaalamu wa computer ila ni mfuasi wa teknolojia so naelewa haraka.
Natumia Samsung A50.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Note: Mimi siyo mtaalamu wa computer ila ni mfuasi wa teknolojia so naelewa haraka.
Natumia Samsung A50.
[emoji120][emoji120][emoji120]