Naomba msaada jins ya kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email na njins ya kuambatanisha barua na nakala za vyetu. Mungu awatangulie wana JF
Nashukuru mkuu ntarifanyia kazi now kupitia cmUnajua kutumia computer? Kama huna computer hata kwenye simu yako unaweza kufanya.
1) Hakikisha unafungua email account ambayo unaweza kujiregister kwa yahoo, hotmail au gmail.(ukibrowse kwa www. mitandao niliyotaja hapo juu) utakuta kuna sehemu wameandika sign up, bonyeza hiyo sign up then fuata maelekezo. Kama unatumia computer hakikisha umescan vielelezo unavyotaka kuambatanisha (eg. vyeti au cover letter n.k) Kwa njia rahisi nenda na vielelezo vyako hivyo ukiwa umeshascan na umesave kwa flash kwa internet cafee watakusaidia. Kama unatumia simu unaweza kupiga picha hivyo vielelezo vyote na kuambatanisha kwenye email yako uliyofungua kama picha.
Note: kwa urahisi zaidi nenda internet cafee hata kama huna email id watakusaidia.