Hugosha?Wapigie voda mkuu
Mmhh hulali?Wapigie voda mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yupo kwenye utafiti.Mmhh hulali?
[emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] [emoji2] yupo kwenye utafiti.
Mmhh hulali?
Wa upweke[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji2] [emoji2] [emoji2] yupo kwenye utafiti.
[emoji115] [emoji115] [emoji87] [emoji87]Wa upweke[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115][emoji115] [emoji115] [emoji87] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115][emoji115] [emoji115] [emoji87] [emoji87]
Mmmh unamaanisha a-restore factory setting[emoji32]nenda kwenye Factory settings u-bofye hapo itaji-restart...
Mia kwa miaMmmh unamaanisha a-restore factory setting[emoji32]
Barring inasetiwa kwenye mtandao sio simu... naamaanisha hata akiitoa hiyo laini na kuiweka kwenye simu nyingine tatizo bado litakuwepo.. rahisi ni kuwasiliana na mhudumu kwa wateja kwani inawezekana kaweka yeye kwa makusudiau au bila kusudi au kazuiliwa na mtowa huduma wakenenda kwenye Factory settings u-bofye hapo itaji-restart...
Dogo alikuwa anachezea simu ya bi mikubwa, sasa akaweka ma barring yake sjui nikijaribu kutoa inasema ingiza password nikumuuliza anasema hajawahi kuweka password, nikawapigia huduma kwa wateja Tigo wananambia hawawezi kuitoa useless kabisaBarring inasetiwa kwenye mtandao sio simu... naamaanisha hata akiitoa hiyo laini na kuiweka kwenye simu nyingine tatizo bado litakuwepo.. rahisi ni kuwasiliana na mhudumu kwa wateja kwani inawezekana kaweka yeye kwa makusudiau au bila kusudi au kazuiliwa na mtowa huduma wake
Laini yangu ya voda inagoma kufanya chochote inaandka call baring, nikienda kwenye setting na ku cancel all barring bado inagoma kwa kudai pin sio sahh, naingza pin 0000 lakn inakataa kufunguka,
Wataalam wa ktoa tatzo hili kwa njia rahisi na kusolve kabsa karbuni mtoe msaada wenu!
Inakataa inanambia call barring rejectedingiza password hiz 1111 sio 0000