Vipi umeshafanikiwa? Naweza kukusaidiaWakuu;
Naomba msaada wa namna ya kusolve suala hilo hapo juu. Kila ninapotaka ku issue command kwenye CMD promt maneno hayo yanajitokeza.
Nimejaribu kubadili user variables kwenye environmental changes lakini bado maneno hayo yanajitokeza.
Msaada tafadhali.
Poa tupe more updatesNiliweza Kaka, nashukuru.
Kwenye environment kuna user variables na system variables. Weka hiyo path kwenye system variables.Nilienda kwenye environmental variables nikabadilisha path.Vipi kuna njia nyingine?