Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 196
Msaada mkuu nikiuliza *#06# IMEI zinafanana nikiangalia nyuma ya battery ziko tofauti mkuu nafanyaje zifanane IMEI za kwenye nyuma ya battery?
Tayari mkuu nimekopiAndika izo imei za nyuma ya simu pemben nikutumie maelekezo jins ya kurudishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimekopi mkuu,msaada tafazali naogopa TCRA mkuu nikanyea debe
Tumia link iyo kupata maelezo utafanikiwa.maana process ya kutumia pc ni ndefuTayari mkuu nimekopi
Powa nikikwama nitakustuaHow To Tweak For A Valid IMEI To Get Internet BundleTumia link iyo kupata maelezo utafanikiwa.maana process ya kutumia pc ni ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
SasaPowa nikikwama nitakustua
bado sijaelewa maelekezo yao maana kiinglishi nacho shida
Tuwasubiri watalaamu watakuja mkuu tuvumiliege.@Mwl.RCT.
Sawa mkuu nimekuelewaTuwasubiri watalaamu watakuja mkuu tuvumiliege.@Mwl.RCT.
Chief-Mkwawa njoo mheshimiwa