Msaada jinsi ya kurudisha email yangu

Msaada jinsi ya kurudisha email yangu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,028
Reaction score
52,506
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
 
ni miaka mingi mkuu hata sikumbuki halafu ndo email yangu tu nayotumia
Hapo itakuwia vigumu sana, kama email na namba ya simu hauna option iliyobaki nadhani watakwambia upige picha ukiwa na ID yenye jina lako halisi either ni passport au driving licence....ili wajidhihirishe kwamba ni email yako.

sasa wewe nenda kwenye hiyo sehemu ya *forget password* then utafute option ambayo hawahitaji back up email au namba ya simu halafu uone watakuambiajee..
 
sioni hyo option ya back up email mkuu na hata sijui nilisajili vipi ni zamani sana yaani
Hapo itakuwia vigumu sana, kama email na namba ya simu hauna option iliyobaki nadhani watakwambia upige picha ukiwa na ID yenye jina lako halisi either ni passport au driving licence....ili wajidhihirishe kwamba ni email yako.

sasa wewe nenda kwenye hiyo sehemu ya *forget password* then utafute option ambayo hawahitaji back up email au namba ya simu halafu uone watakuambiajee..[/QUOT
 
Miss Natafuta Important Note: Yahoo! Accounts that have been inactive for 12-months is liable to be deleted permanently. The abandoned accounts are being deleted from its server to keep the server more reliable and load-free. In this case, once deleted account will not be recovered anyhow.
 
daaah nimescan huko mavyeti yangu inabidi nianze tena jamani
 
Back
Top Bottom