Msaada: Jinsi ya kurudisha application ya SMS kwenye simu

BRO LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
837
Reaction score
628
Mtoto amechezea simu app ya meseji siioni hivyo siwezi kutuma wala kupokea sms. nimejaribu ku
download app nyingine ila hazifanyi kazi vizuri.
Naomba kujua namna ya ku recover ya zamani.
 
Ni ya kichina, maana simu za kichina ni janga la kitaifa
 
Ni mdogo hajua chochote zaidi ya bonyeza bonyeza tu, nahisi atakiwa kaifuta
 
Ni mdogo hajua chochote zaidi ya bonyeza bonyeza tu, nahisi atakiwa kaifuta
simu umeroot? kama hujaroot ni ngumu kuitoa hebu jaribu kueka launcher nyengine toka playstore download nova launcher uone kama itatokea
 
Asante mkuu, naomba nielekeze ku reset
 
Dawa hapo ni kuresete tu madhara yake ni kwamba program ulizodownload mwenyewe zitafutika itarudi na proglam zake tu kama siku umeinunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…