Msaada jinsi ya kurestore insta acc

samyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
589
Reaction score
311
Wadau naombeni msaada kwa mtu anayejua kurudish acc ya insta coz ilijilog out yenyewe wakidai kwamba nmepost vitu ambavyo sio so wamei disable.kuna screenshot nmeeka below. T. I. A


Updated
Thanks wote kuna email niliwatumua mchana naona nw wamerespond wameirudisha back.
 
Jifanye umesahau passwad kuna linkwataleta au kama ulijiunga kwa kupitia fb jitumie link kwa kutumia fb kuna maelezo hapo watakuletea yafuate leta mrejesho
Wadau naombeni msaada kwa mtu anayejua kurudish acc ya insta coz ilijilog out yenyewe wakidai kwamba nmepost vitu ambavyo sio so wamei disable.kuna screenshot nmeeka below. T. I. AView attachment 1078645View attachment 1078646
 
Fungua nyingine tu mkuu hiyo huwezi irudisha tena ulifanya janja janja ya kuongeza followers,like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…