Msaada jinsi ya kureset galaxy s5

lwamu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
927
Reaction score
1,078
Habari wakuu...
Naomba kusaidiwa jinsi ya ku-reset simu aina ya sumsung galaxy s5...
 
Kama ni factory reset ingia kwenye settings kisha pale juu touch tab ya accounts then scroll down hadi kwenye backup & reset then choose factory data reset.
 
kama hiyo simu sio yako ukafanya hardreset hautatumia tena maana hizo kama iphone zina reactivation lock kwa hiyo ukifanya hard reset itakudai samsung account
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…