gerald anthoni Member Joined Jan 27, 2018 Posts 80 Reaction score 60 Dec 11, 2020 #1 Habar za saiz wadau natumain wote mpo powa, Naomba msaada jinsi ya kurejesha account yangu ya Facebook ambayo nimesahau password alafu namba niliyotumia kufungulia hiyo account nimeipoteza
Habar za saiz wadau natumain wote mpo powa, Naomba msaada jinsi ya kurejesha account yangu ya Facebook ambayo nimesahau password alafu namba niliyotumia kufungulia hiyo account nimeipoteza
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,722 Reaction score 197,360 Dec 12, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw