Sylvester mpepi
Member
- Mar 3, 2018
- 48
- 9
Imekuwa tatizo kivipi mkuu. Embu tujuze vizuri hapohabari zenu wanajamii! Naamini mko poa! Wote jamani ninashida moja jinsi ya ku record screen kwa kutumia simu ya tecno spark k7 anaeweza naomba anisaidie maana nime donload screen record zote playstore lakini bado imekua tatizo kama kuna setting zozote za kutumia screen record kwenye simu za tecno k7 naomba mnijuze kwa anaye tumia aina hii ya simu
Ok naomba kuwasilisha
yani nikianza ku record screen app haichukui hata ½dk ina stop yenyewe kurecordImekuwa tatizo kivipi mkuu. Embu tujuze vizuri hapo
Nimejalibu kutumiaKwanza upakuwa app zipi??
Nimejalibu kutumia
Du record
Mobizen
A-z screen record lakini niki start tu zinarecord kdg alafu zina stop kurecord zenyewe
daah ntashukuru sana broo nikipata solution ya hili tatizoSawa ngoja nifukue makaburi nitarudi
ahaa sawa itakua ram maana ram ya cm yangu imetumika 80% pia ata app ya mobizen iliwai niambia hicho kitu kwamba ram ya cm ni ndogo je naomba nisaidie nitafanyaje kuongeza ram ya cm au nifute vt gani vinavyo tumia ram nyingi naomba nisaidieIssue ni Ram hapo. Yani simu yako iwe na uwezo wa kufanya iyo task yako same time inarecord screen. Simu ina capacity iyo???
Jaribu ku uninstall apps ambazo zinakuja na simu lakini huzitumii. Mf. Google newstand, google books, Google drive, chrome, hangout na upuuuzi mwingine.ahaa sawa itakua ram maana ram ya cm yangu imetumika 80% pia ata app ya mobizen iliwai niambia hicho kitu kwamba ram ya cm ni ndogo je naomba nisaidie nitafanyaje kuongeza ram ya cm au nifute vt gani vinavyo tumia ram nyingi naomba nisaidie
Ok ahsante sana broo tuko pamojaJaribu ku uninstall apps ambazo zinakuja na simu lakini huzitumii. Mf. Google newstand, google books, Google drive, chrome, hangout na upuuuzi mwingine.
Hii itakuhitaji u root kwanza device yako
Pa1Ok ahsante sana broo tuko pamoja