Nina cmu yangu aina ya nokia n97 haina window naombeni msaada jinsi ya kudanwload na kupiga window
Nina cmu yangu aina ya nokia n97 haina window naombeni msaada jinsi ya kudanwload na kupiga window
.
if am not wrong mbupupu
unataka kubadirisha operating system ya simu yako.. Kutoka symbian to windows
.
But don't do that go and buy a new windows phone..
.
simu kuwa na windows operating system haimaanish uta run exe.. U need x86 processor n.k hapo ulipo jiulize umekitoa kitu hik certificate error contact the application supplier
.
walikuepo watu waliobadirisha operating system kuwa android lakin simu ikawa slow more than slow mpaka wakaamua kurudi tena anna belle...
.
nakumbuka kuna theme niliziona n73 zinazofanya simu iwe na muonekano wa windows lakn operating system ni ile ile symbian

[B]ni kweli kabisa ila nataka kujua kwani kuna tofauti gani kati ya symbian na window[/B]
Tofauti ni kubwa sana. Symbian platform ni OS ya simu iliyovuma sana miaka ilee. Windows Mbobile OS ni active mpaka leo. Symbian ipo very weak siku hizi, kwa kuwa Nokia hawaipi support tena. WIndows OS kwenye Nokia N97 ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Kama uliiona kwa mtu mwenye Nokia N97 hiyo siyo Windows Mobile OS ni Custom Firmware. Ni firmware ya Symbian iliyofixiwa errors nyingi, ambayo ina improvements kubwa kwenye Muonekano, performance etc. Hawa watengenezaji wa hizi Custom Firmwares wanabadilisha vitu kama Fonts, menu icons. Pia wanafanya few rooting kwenye simu. Kwa mfano, Symbians nyingi zina problems kwenye ku-install apps. "Certificate Error. Contact the application Supplier" Hili linakuwa halipo kwenye CFW (Custom Firmware). Kwa hiyo mkuu kama ukipenda jaribu ku-google kuhusu hizi9 CFW then jaribu CFW mbaimbali ukiipenda utai-install kwenye simu. Njia hii ni the same as flashing. Kuna kipindi nilikuwa na 5800 Xpress Music nikadownload CFW ya Symbian Anna na nikaitumia sana tu. Visit hii blog hii Flash Nokia Phones(Includes Custom FirmWares) then jaribu kutumia.Code:[B]ni kweli kabisa ila nataka kujua kwani kuna tofauti gani kati ya symbian na window[/B]