Msaada jinsi ya kupata whatsapp

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
836
Nina tecno,nikitaka ku2mia whatsapp kuna maandishi yanatokea ni adjast time,nkiclick inakataa,msaada kwa anaejua
 
hayo ni majanga ya simu za kichina,jaribu kuupdate hiyo whatsap yako mkuu
 
Futa hiyo whatsapp, namaanisha uninstall hiyo whatsapp kisha nenda store download mpya ambayo ni updated hilo tatizo litaisha. Hayo ni matatizo ya simu za tecno.

Kuifuta nenda setting kisha apps kisha utaiona whatsapp bonyeza uninstall.

Ukipata pesa mkuu hama kwenye hizo simu za kichina, tafta simu nzuri original, always cheap is expensive.
 
Futa hio download whtsapp mpya toka P.store hakikisha tarehe ya cm yko ipo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…