Msaada: Jinsi ya kupata Visa kwenda Cameroon

Msaada: Jinsi ya kupata Visa kwenda Cameroon

kisinzi

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
18
Reaction score
6
Msaada: Natakiwa kwenda Camerron baada ya wiki tatu kuanzia sasa. Visa napata wapi?
 
Msaada: Natakiwa kwenda Camerron baada ya wiki tatu kuanzia sasa. Visa napata wapi?
Nenda ubalozini kwao, kama hakuna tz check Nairobi...google utapata taarifa zao
 
Nenda wizara ya mambo ya nje watakupa maelekezo.
 
Nenda wizara ya mambo ya nje watakupa maelekezo.
Asante mkuu. Hakuna ubalozi wa Cameroon Dar. Nilitaka kujua kama kuna ubalozi mbadala unaotoa huduma kwa niaba yao.
 
Asante mkuu. Hakuna ubalozi wa Cameroon Dar. Nilitaka kujua kama kuna ubalozi mbadala unaotoa huduma kwa niaba yao.
nenda kenya watakua na ubalozi maana kenya airways inaruka Kenya-Cameron
 
Cameroonian Embassy Nairobi Kenya – Contacts
Kirkos Kifle Ketema, Kabele 02, House No.168,
P.O. BOX 1026, Addis Ababa
Tel:011-550-44-88/87/89
Fax:011-5528458
Email: ambcama@ethionet.et This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Office Hours
Monday to Friday
9.00 a.m. to 1.00 p.m.
2.00 p.m. to 5.00 p.m.

National Holiday
 
Kuna nchi nyingine visa unapata sehem au wakati unaingia
 
Back
Top Bottom