Habar wana Jamii. Nipo katika harakati za kutafuta passport lakini nimekwama katika suala la kitambulisho cha taifa kwan binafsi sina hiko kitu.Sasa NIDA yachukua zaidi ya mwezi mmoja kukipata je kuna njia nyingine ya kufanikisha hili swala bila ya kua na National Id?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app